Skymkoba : Ni njia rahisi ya kutunza taarifa za kifedha
Mtu Binafsi : Unaweza kutunza taarifa za matumizi binafsi kama vile manunuzi, usafiri na mengineyo.
Mjasiliamali: Unaweza kutunza taarifa za mauzo na matumizi katika biashara yako.
VICOBA :Watu walio kwenye vikoba wanaweza kutunza taarifa za kikundi.
Makampuni : Yanaweza kutunza taarifa za mauzo yasio na kipimo.
VIFURUSHI
NUNGUNUNGU
BURE
Akaunti 1
backup ya bure
Taarifa za Siku, wiki & mwezi
SWALA
TSH 500 / Mwezi
Akaunti 2
backup bila kikomo
Taarifa za siku, wiki & mwezi
Taarifa kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani
Akaunti shirikishi (1)
TWIGA
TSH 1,500 / Mwezi
Akaunti 5
backup bila kikomo
Taarifa za siku, wiki & mwezi
Taarifa kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani
Akaunti shirikishi (5)
Kuhamisha data kutoka akaunti moja kwenda nyingine
Kuona taarifa zote tangu uanze kutumia App
Kuprint taarifa katika mfumo wa PDF na Excel
TEMBO
TSH 3000 / Mwezi
Akaunti bila kikomo
backup bila kikomo
Taarifa za siku, wiki & mwezi
Taarifa kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani
Akaunti shirikishi bila kikomo
Kuhamisha data kutoka akaunti moja kwenda nyingine
Kuona taarifa zote tangu uanze kutumia App
Kuprint taarifa katika mfumo wa PDF na Excel
Takwimu katika taswira tofauti tofauti kama grafu
KULIPIA TIGO PESA
Piga *150*01# kupata huduma za Tigo Pesa .
Chagua Namba 4 - Lipa Bili
Chagua Namba 3- Ingiza namba ya kampuni
Ingiza namba ya kampuni- 767676
Weka kumbukumbu namba- anza na 251 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye SKyMkoba. mfano 2510693157655
Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na kifurushi ulicho chagua
Weka namba ya siri kuhakiki.
Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.
KULIPIA AIRTEL MONEY
Piga *150*60# kupata huduma za Airtel Money.
Chagua Namba 5 - Lipia Bili
Chagua Namba 4- Weka namba ya kampuni
Weka namba ya kampuni- 767676
Weka kumbukumbu namba- anza na 251 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye SKyMkoba. mfano 2510693157655
Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na kifurushi ulicho chagua
Weka namba ya siri kuhakiki.
Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.
KULIPIA M-PESA
Piga *150*00# kupata huduma za M-Pesa.
Chagua Namba 4 - LIPA kwa M-Pesa
Chagua Namba 4 - Weka namba ya kampuni
Weka namba ya kampuni- 405656
Weka kumbukumbu namba- anza na 251 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye SkyMkoba. mfano 2510693157655
Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na kifurushi ulicho chagua
Weka namba ya siri kuhakiki.
Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.
Njia mbadala
Wasiliana nasi: +255 693 157 655
Unaweza kuchagua njia mbadala ya malipo kama Benki au pesa mkononi
Endapo ulitumia email wakati wa kusajili, Hariri wasifu wako na uongeze namba ya simu